kwhyo posta majengo yake yote ya zamani?Hakuna Posta yenye majengo mapya, nimezaliwa Dar miaka ya 70's na tangu napata akili hayo majengo yapo. huo upya ni upya upi?
Sasa hizo kashifa kwa sisi Watu wa mashambani,mimi huko sijawahi kufika naangaliaga kwenye TV na magazeti.Kumbuka muulizaji hakusema anatokea njia gani kuelekea Huko Posta Mpya.Nyinyi watu wa mashambani mna tabu sana, sasa mtu yupo Mwenge unamwambia apande gari ashuke mnazi mmoja kwani hakuna Coaster za Mwenge Posta kupitia palm beach?
Si kila mtu ni mkazi wa gongo la mboto kama wewe, tena hata wewe ukija mjini nakushauri uwe unapanda treni ndio usafiri wa haraka kuingilia mjini.
It is very true.Hakuna Posta yenye majengo mapya, nimezaliwa Dar miaka ya 70's na tangu napata akili hayo majengo yapo. huo upya ni upya upi?