msaada plzz

msaada plzz

deprettyG

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
42
Reaction score
2
natafuta kaiz yeyote yenye uhalali,duka la nguo,vipodozi,saloon,now npo dom bt hme dar!am girl 21 yrs
 
1. Una elimu gani?

2. Umeshafanya kazi gani? Una uzoefu na kazi gani? Kwa muda gani?

3. Sawa uko dodoma, so unataka ajira dodoma? Ama unaweza kwenda mikoa ipi?
 
Binti, kuna factors nyingi sana ambazo mwajiri makini huwa anazingatia, kwa kusoma tangazo lako tu mtu anaweza kujifunza mengi kabla hata hajaonana na wewe! Btw, kwa nini usiangalie zaidi uwezekano wa kujiajiri hasa katika uzalishaji, fursa za "kutoka" zipo wazi zaidi upande huo kuliko huko unakokimbilia "preaty girl". Kila la heri.
 
1. Una elimu gani?

2. Umeshafanya kazi gani? Una uzoefu na kazi gani? Kwa muda gani?

3. Sawa uko dodoma, so unataka ajira dodoma? Ama unaweza kwenda mikoa ipi?
elimu yangu form four,cjawai fanya kazi popote pale,,naitaji dodoma
 
Binti, kuna factors nyingi
sana ambazo mwajiri makini huwa anazingatia, kwa kusoma tangazo lako tu
mtu anaweza kujifunza mengi kabla hata hajaonana na wewe! Btw, kwa nini
usiangalie zaidi uwezekano wa kujiajiri hasa katika uzalishaji, fursa za
"kutoka" zipo wazi zaidi upande huo kuliko huko unakokimbilia "preaty
girl". Kila la heri.

thankx Ushauli bt Sasa nipo chuo so nakalibia kumaliza hivyo nicngependa nikae nyumbani bila kazi yoyote,,wakati nikijipanga kunzisha kitu kingine!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom