mwanamama makini ktk tasnia ya utangazaji hapa nchini .alipo bbc idhaa ya kiswahili na inasadikiwa kuwa yeye na tido muhando waliombwa na mkulu kuja kuborosha tbc iliyo kuwa imedoda kipindi kile ikiitwa tvt.kuna mdau humu anajua yuko wapi mkali huyu
Unamjua afisa habari wa Tume ya mawasiliano? Anaitwa Bw Innocent Mungy, tafuta contact zake kwa kuwa yeye ndie atakayekupa habari sahihi yaq huyu mama, Suzan!!!! Wengine ni wazushi tu watakusumbuoa kaka!!!