hao watakuwa wachawi wanachelewesha goli nyumban kwako kikubwa hama nyumba,Jamani naangalia MPIRA TBC
KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV
NINI TATIZO WANAAPISHANA
Jamani naangalia MPIRA TBC
KUNA JAMAA WANAANGALIA NYUMBA YA PILI KINGAMUZI CHA DSTV
GOLI LIKIINGIA UNASIKIA WANAANZA KUSHANGILIA INACHUKUA DK MOJA NANUSU NA MIMI NAONA GOLI
NINI TATIZO WANAAPISHANA
Hiyo kitaalam inaitwa photosynthesis kama umesoma topic ya wave kwenye physics

ni kweli kuna kupishana lkn sio dakika moja na nusu, umeongeza chumvi hapo labda useme ni sekunde kadhaaJamani naangalia MPIRA TBC