KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Naomba kujua tofauti ya academic qualifications na Proffessional qualifications,kama utaweza nitajie na mifano yake,asante sana.
academic qualifications ni sifa za Taaluma mfano;vyeti vya std VII,F IV,F VI na CAs za vyuo na hizi academic qualifications ndizo humfanya mtu kufuzu professional qualifications ambazo maana yake ni FANI unayohitimu mfano;Udaktari, Ualimu,Uhandisi n.k
Dokta mwamdamizi mwenye miaka 10 kazini mbona Kimya siku hizi ndugu??Naomba kujua tofauti ya academic qualifications na Proffessional qualifications,kama utaweza nitajie na mifano yake,asante sana.