Jukwaa hilo lipo ila huwezi kuingiampaka
upate ruhusa toka kwa Uongozi yaani Invisible
Pia unachotakiwa kufanya mwandikie PM/E mail
kuomba idhini ya kuingia
Michango yako pia inaweza kuwa kikwazo
kupata ruhusa yaani km iko kukashfu dini
yoyote na si kuelimisha jamii yote.
Kubwa na zuri omba ruhusa halafu wao
watakufikiria pia wakati unaomba uwe
na subira si leo leo.