Msaada please.

Msaada please.

MalikwaMali

Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
33
Reaction score
1
Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
 
Subiri Mkuu, watakuja wataalamu si muda mrefu.
 
Back
Top Bottom