MSAADA PLEASE! (Wanaume)

Misosi

Member
Sep 17, 2010
85
4
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.
 
1-nadhani ondoa HOFU (kama una ndoa)

2-ni vyema ukasubiri muda muafaka wa wewe kufanya mapenzi (ukioa),huenda hiyo hofu inatokana na ile SELF GUILT inayokuja kutokana na kufanya kitu ambacho mungu hajakibariki......ACHA ZINAA
 
Pole sana mpenzi mbaya sana hiyo jamani, bahati mbaya mimi sio mwanaume nashindwa hata cha kukushauri hope wakiamka walengwa utapata msaada
 
hujiamini kama kawa wako?au unaona ndoto kuwa nae?JIAMINI,lkn pia u never knw Mungu anakuepusha na nn hapa!
 
That means humwamini huyo mdada, na unahisi huenda ana ngoma...Hapo hata kama unatumia zana akili inafanya kazi yake na kukuondole a hamu!..
Kapimeni na mpenzi huyo ili muaminiane!
 
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.

Kwa hiyo unataka ushauri jinsi ya kukabiliana na hili swala la kufanya matusi?

Lakini je umeoa mkuu? Isije ikawa hujaoa ndo unajifunza kufanya matusi
 
au huyo dada ni jini....sasa malaika wako wanamkataa.......kuna signo hapo unapewa mkuu na roho wako wa ulinzi....STUKA
 
Inabidi ili kuondoa Hofu pata Bia ili utoe nishai am sure baada ya kufanikiwa mara ya kwanza utaona ni kitu cha kawaida na hofu itaondoka
 
Pole sana mpenzi mbaya sana hiyo jamani, bahati mbaya mimi sio mwanaume nashindwa hata cha kukushauri hope wakiamka walengwa utapata msaada

hata mimi sio mmanaume sasa sijui nimsaidiaje kaka yetu huyu
 
Kama kuna mtu imewahi mtokea na alikabiliana nayo vipi hii hali? Ipo hivi. Kama mara kadhaa sasa nikiwa na demu wangu nimekuwa nikipatwa na hofu kiasi kwamba inanipelekea kupoteza concentration ktk jambo na jamaa kutokusimama hata akivua nguo na nikimchezea hadi baada ya muda sana, kwa mfano usiku nikishituka usingizini anakuwa kasimama ila nikianza kumshika shika demu napata hofu jamaa analala, naombeni mawazo yenu NIONDOKANE VIPI NA HII HOFU NA NIWEZE VIPI KURUDISHA CONCENTRATION kwani najijua ni mzima kabisa, na kama kuna yeyote ana document ya kisaikolojia ambayo yaweza nisaidia nitashukuru.

kama anafanana hivi hata tukushaurije ur finished

images
 
Hofu inaletwa na sababu fulani ambayo hujaitaja hapa,sisi hatuwezi kutibu dalili,tunataka tutibu mzizi wa tatizo lako?hujasema hata unachoogopa ni nini?ushauri wako,sikiliza sauti yako ya ndani(instinct) na uitii,yaweza kuwa ni nguvu za Mungu pia,ujue hata tunapopungukiwa na udhaifu wa kibinadamu yeye anatupenda na pengine anakuepusha na jambo,muache huyo msichana,tafuta muda wa kutafakari na kusikiliza nafsi yako.Kila la kheri.
 
Unakuwa unahofu nini mkuu, huna ndoa? Unaogopa ngoma?

Mkuu hofu ni kutokana na yaliyotokea kipindi kilichopita, na maanisha kwamba mara ya kwanza inatokea hivyo demu anavumilia na mara hii tena da! unajua tena mkuu inavyouma unapojijua kuwa uu mwanamume kamili then unashindwa ku do the needful!
 
Kwa hiyo unataka ushauri jinsi ya kukabiliana na hili swala la kufanya matusi?

Lakini je umeoa mkuu? Isije ikawa hujaoa ndo unajifunza kufanya matusi

Mkuu si kwamba ndiyo najifunza, mi ni kijana wa makamo. naomba kama una maoni kuhusu hili nisaide kuokoa jahazi hili. ahsante
 
Nikuambie kitu bro?Acha hizo mambo,Mungu anakupenda.Kuna jamaa wanatamani sana wangekuwa na udhaifu huo.
 
chukua red bull moja changanya value moja piga harafu atakukimbia haki ya nani utakoma manyama ndani manyama nje 40 min utaweza
 
kama anafanana hivi hata tukushaurije ur finished

images

Nashukuru mkuu Nguli Jabali, ila naona kama walichukulia hili swala langu kimzaha zaidi, hebu jaribu kuvaa uhusika wangu uone uzito wake, anyway again nashukuru kwa mawazo yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom