Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 965
Za leo ndugu zangu.
Naombeni msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia simu ya Samsung Galax Tab kwa matumizi ya internet na kupata habari. Ila cha kushangaza Jamii forum naingia kwa kusoma tu ila siwezi post kituchochote au kukoment hata kulike na apply ....yaani ni kusoma tu. Fb, Whatsap na vingine inakubali haina shida.
Ila nikitumia kompyuta naweza fanya chochote kupost na kulike kukomenti na mengineyo. Naombeni kwa anayejua hata huu uzi nimeuandika kwa kutumia kompyuta (Desktop) nikiwa ofisini napenda sana simu niwe naitumia kwa kila kitu nikihitaji hasa Jamii Forum.......ni hayo tu ndugu zangu