Habarini wana jamvi?..Naombeni msaada juu ya kupata application ya jamiiforum kwenye simu yangu ya blackberry z10 maana nakosa raha yapata miezi miwili sasa kila nashindwa kupata hii application. Wenye links za moja kwa moja naomba mnisaidie au wenye simu kama yangu ya blackberry Z10 Naomba uzoefu wenu kama mnaipata JF kwenye hii simu......Naombeni msaada wa haraka jamani as you know JF ni shule na darasa huru so sijaja darasani miezi miwili nahisi kuumwa aisee....cc@invisible. SHUKRANI.
Download 1mobile market na uhaba wako wa apps wote utaisha utaweza install jamiiforums na mamilion ya app za androids.
Download hapa
1Mobile Market - Best Google Android Apps Market
Ila tu kuwa makini usieke app za android usizohitaji