Msaada please: ArcView GIS 3D Analyst

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
Please wadau nilikuwa naomba extension ya 3D analyst for ArcView GIS kama kuna mtu mwana JF anayo.

Regards
 
Ipo inapatikana tena arcView 9.3.Sijui ku upload more that 1.5GB file popote kwani huo ndio ukubwa wake...na ina key yake vile vile...
Sijui nikusaidiaje....labda nikijua uko pande gani..naweza ona njia ya kukutumia.
 
Nafikiri unamaanisha ARCGIS 9.3 sio ArcView 9.3! Hata hivyo pia bomba kama una key ya ArcGIS nitumie kwenye PM yangu itakuwa imetulia, manake ninayo ArcGIS ina key ambayo ni demo for 60 days, na nilishamaliza muda wake kitambo
 
Mkuu ni arcView yenye licence mbili ya arcCatalog and ArcView...hope utakuwa umenipata.Ndani yake ukienda kwenye start,all program,arcGIS,Desktop administration,availability ndio utaona iko register na extension gani.Nimejaribu kuiattached imeshindika....ni PM mail yako.

Regards
Buswelu
 
Mr. Buswelu nami ninahitaji masaada kama huo, kama unaweza naomba unitumie hiyo ARCGIS 9.3 kwenye DVD. Hii ni email yangu majulajulius@yahoo.com ili inkutumie physical address. Asante
 
Mr. Buswelu nami ninahitaji masaada kama huo, kama unaweza naomba unitumie hiyo ARCGIS 9.3 kwenye DVD. Hii ni email yangu majulajulius@yahoo.com ili inkutumie physical address. Asante

Wadau mnaohitaji hiyo 3D Analyst tayari mmeshanunua ArcGIS 9.3? kwa kuwa nijuavyo mimi hiyo ni Extension ya ArcView na Demo licence yake inakaa siku 60. Vile vile inabidi mtambue kuwa kuna licence za aina mbili Single User na Server licence. Kama mnataka copy ya hiyo DVD mbona itakuwa ngumu kuipata? Labda kama ni Cracked Version ndio inaweza ikawa distributed kirahisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom