Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 695
- 812
Sijajua unatumia simu gani, lakn jaribu kwenda settings>manage apps>all>google play services>clear cache. halaf restart simuChief-Mkwawa na wengine mje mtusaidie please.. Mimi Google play services imegoma napata message "Google play services error... Unknown issue with Google play services"
Sasa siwezi kufungua hata Gmail.
Fanya kama hapo juu kwa google play services, then utahamia kwenye play store na clear data, na clear cache then restart simuNatumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
Natumia HTC one e9plus... Nimefanya hivyo lakini imeshindikana bossSijajua unatumia simu gani, lakn jaribu kwenda settings>manage apps>all>google play services>clear cache. halaf restart simu
Kama tatizo bado lipo na unaweza Ku access kwenye browser au app ya YouTube fanya kama ifuatavyo.Natumia S6 edge. Nina kama wiki hivi tangu nikose access ya Play store. Kila nikijaribu kuifungua inaishia kunambia 'Couldn't sign In'. Naomba yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Natanguliza Shukrani.
Na nini tatizo la GOOGLE PLAY SERVICES ERROR MESSAGE **Imesababisha pia tatizo la Gmail kutokufunguka.. Msaada pleasekama hujaroot mara nyingi playstore ikigoma ni mambo mawili
-inahitaji kuclear cache kama walivyosema wadau hapo juu
-apn yako ina proxy/ni ya wap hivyo utahitaji kutengeneza apn mpya
google playservice isipofanya kazi na app za google pia hazifanyi kaziNa nini tatizo la GOOGLE PLAY SERVICES ERROR MESSAGE **Imesababisha pia tatizo la Gmail kutokufunguka.. Msaada please
google playservice isipofanya kazi na app za google pia hazifanyi kazi
alternative
tumia app nyengine ya email kama vile mail hii huja na simu, fungua app ya mail halafu login huko.
kuhusu hilo tatizo lako error yake ni ipi? andika hapa full mesage au namba za hio error
Uninstall update then itafanya kaziFanya kama hapo juu kwa google play services, then utahamia kwenye play store na clear data, na clear cache then restart simu
Chief-Mkwawa hiyo play services error haina error number, niki click hamna any other info
Hapo kwa chini nayo ni error nikifungua Gmail... Niki click Gmail inajifunga..
Thank you
Nimefanya hivyo naona bado tatizo lipo vilevile kiongozi
Huku kuclear cache kunafanyikaje chiefkama hujaroot mara nyingi playstore ikigoma ni mambo mawili
-inahitaji kuclear cache kama walivyosema wadau hapo juu
-apn yako ina proxy/ni ya wap hivyo utahitaji kutengeneza apn mpya
kiswahili gongana mkuu kuroot unaroot mara moja tu, nimesema mara nyingi ikigoma hio playstore wakati ukiwa hujaroot simu solution zake ni kuclear cache/data au kutengeneza apn sahihiHuku kuclear cache kunafanyikaje chief
Na kama nimeroot mara nying njia mbadala ni nini?