Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

Akijibu miswali yote hiyo nitag.
 
Habarini wana jamvi.

Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.

Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Nenda SONARA
 
Wife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.
Mkuu we umeoa au umeolewa??inakuwaje unashindwa kum control mke wako kwa kitu kidogo km hcho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…