rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Daaaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna vitu vingine. Ila ngoja nikupe ushauri vinja choo tumbukia ukaitafute kama mwezako mmoja kwenye movi alikuwa anatafuta almasi ikaliwa na mamba akatumbukia mtoni kuifata.Habarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Basi mkachonge tu nyingineWife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.
Sijasema unachepuka mkuu, hiyo ni story nimesema ya jamaa flani. Kwanini uliivulia chooni mkuu?Huwa naivuaga hasa wkt wa kuoga ama kulala siku moja moja. Huwa sina michepuko tangu nilipooa mwaka.
Sikuipoteza makusudi ni bahati mbaya tu mkuu. Mana ni nzr na gharama sana na pia kumbuka baba paroka aliibariki kanisani..
Nina rafiki yangu alipoteza pete kwa bahati mbaya sokoni,ilikua inapwaya sasa katika kuchagua vitu ikavuka hata ilipkdondokea hatukuona,ilibidi akachonge nyingine ya kufanana na ile ile ili husband asilete zengweWife hanielewi,mana siku zote huwa naivuaga chumbani kabla sijaenda bafuni/toilet. Sasa ile ijumaa nilijisahau nikaenda nayo bafuni na ndipo ikatunbukia bahati mbaya wkt naflash choo.
Kweli kabisa.Mimi haina faida yoyote bali ni urembo tu, sijui wengine mtazamo wao
bomoa chemba hiyo chuja ivo vitu vilivyomo humo utaipata chief...siku 6 bado chache sana hata wiki haijaisha bwana
Pete inanunuliwa na kubarikiwa tu mnavaa tena shida haipo kwani kwa akili yako ulijua hiyo pete haiishi.Huisha na inakuwa na makali by the way yaweza hata kukuchana kama wembe.Habarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa imevunjika au bado?
Bc usifanye Kwanzaa mpaka utakapokua vzr kiuchumiNataka fanya hivyo,ila itanigharimu sana na vyuma vilivyokaza nawaza sana..
Itakuwa aliivaa kwenye utumbo ikatelezea na nnya.Hiki kihoro hadi kuanzisha thread huku ni kupotea makusudi.
Kuna jamaa alivua pete ili aende kwa mchepuko. Ikapotea kwenye mazingira tata! Hivi hiyo pete imetumbukia vipi chooni? Ilikuwa ina pwaya au? Hivi pete ya ndoa huwa inavuliwa? Ni kwa muda gani unaitoa au kuivaa?
Habarini wana jamvi.
Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa.
Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.