aisee front seatHabarini wana jamvi. Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa. Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
Hivi pete ina umuhimu gani kwenye ndoa mie sielewi?Ndoa imevunjika au bado?

Pole sana ilikuwaje mpaka ikaponyoka au vidole vimekondaDah inaniuma sana. Ilikuwa nzuri na ya gharama sana..

bomoa chemba hiyo chuja ivo vitu vilivyomo humo utaipata chief...siku 6 bado chache sana hata wiki haijaisha bwana
atakutana na visivyo kutwa.Hapo na ndoa yako inaenda kuflashiwa soon.Habarini wana jamvi. Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa. Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.