Mh ....ni iman yako pia[emoji21]Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete kwenye biashara wewe mwenyew haufanyi hesabu vizur za mauzo yako
Jf ni burudani tosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natembeza ice creamFunguka unafanya kazi gani?, usije kuta hujui maesabu.
Et wanasemaga...ukiwa na tatizo hilo hujijuagi....sio mimi.Syo lazima ucoment ndg nipo timamu sasa kituo cha afya kinahusikaje hapo
Hapo tumia nguvu ya Mungu, kama muislam nitakushauri uweke Quraan (hii nimemshauri kwa mujibu wa imani yangu). Na jitahidi uwe mwema usichanganye mambo yanayomuudhi Mungu na hapohapo unamtaka Akulinde, mfano mtu anaweka Quran halafu anafanya michezo ya kimalaya tena hata na mke wa mtu. Pili, kuwa na uthibiti kamili wa hela, tumia daftari lako, ukiuza andika, jiwekee labda kila ikifika 5000 (hata chini ya hapo mfano 3000) peleka kwa wakala, usichoke hata kama ni tripu 20 kwa siku, kuweka sio kutoa useme eti utakatwa. Pia punguza matumizi ya pesa, mfano kama huji na msosi wako job, kalipie bili mwezi mzima uwe unakwenda kula tu, usafiri kadhalika fanya hivyo. Nina uhakika hii itafunga mianya yote ya upotevuWakuu naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia hili au ambae anajua hii inatokana na nini ni vizuri anishauri,
Nimeanzisha biashara yangu ndogo ila cha kushangaza naweza kuchukua mzigo wa kuuza elfu ishirini na nikaumaliza ndani ya masaa mawili au matatu maana huwa nazungusha ila cha ajabu nikifika nyumban najikuta mfukoni nina elfu mbili (2000) au elfu tatu (3000)
Bila kujua huwa hela inaenda wapi siwezi kusema kama ninapoteza hela maana mifuko yangu iko imara sana afu ukilinganisha kwanini zisipotee hela zote? Zinapungua? Tatzo hili limenitokea takriban siku tatu zilizopita na leo nikajaribu kuzungusha mzigo nikiwa makini sana nilichukuwa mzigo wa elfu kumi na baada ya kuumaliza ndani ya lisaa limoja nikarudi geto na kukagua hela nikajikuta nina elfu mbili mia saba (2700)
Wakuu naombeni Msaada wenu kwa anaejua anaweza kunisaidia namna ya kuthibiti hali hii,
Niko dodoma.
Jidanganye tu, hayo mambo yapo sana.Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete kwenye biashara wewe mwenyew haufanyi hesabu vizur za mauzo yako
Angalia pm yako mukuuNicheck PM nikusaidie mkuu mpaka utamkamata anayezichukua
Tatizo jf kuna watu wanajifanya much know kumbe kihuhalisia si lolote ...Mtu naomba ushauri vizuri kabisa,angalia sasa coment Zeke,inakatisha Tamaa Sana.....
Atakuwa anahonga kama wanaccm wenzake.Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete kwenye biashara wewe mwenyew haufanyi hesabu vizur za mauzo yako
Hakuna kitu kama hicho muanzisha uzi anajichanganya tu wewe unauza elf 20 unarudi nyumbani na elfu 2 hiyo biashara si itakuwa imeshakufa mana mauzo kama hiyo elfu 20 sina hakika kama hiyo biashara ni kubwaJidanganye tu, hayo mambo yapo sana.
Jaribu kwenda kwenye kituo cha Huduma za afya kilicho karibu yako kwa msaada zaidi.
Nauza ice creamHakuna kitu kama hicho muanzisha uzi anajichanganya tu wewe unauza elf 20 unarudi nyumbani na elfu 2 hiyo biashara si itakuwa imeshakufa mana mauzo kama hiyo elfu 20 sina hakika kama hiyo biashara ni kubwa
basi akishaziesabu anavyorudi nyumbani azishike asiweke mfukoni