Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Ushauri wangu mkuu katafute gpu tu hata ya mtumba utaenjoy kama mimi nilipata ya mtumba naenjoy game nyingi tu bila shidapamezibwa![]()
Ushauri wangu mkuu katafute gpu tu hata ya mtumba utaenjoy kama mimi nilipata ya mtumba naenjoy game nyingi tu bila shidapamezibwa![]()
hamna gpu hapo,pamezibwa![]()
Hii pes ni mara ya kwanza kuingiza humu, ila magame mengine kama call of duty 4modern warfare kwenye window 7 ilikuwa inacheza vizuri ila kwa sana inagoma sanahamna gpu hapo,
hilo pes 2016 ulilicheza kwa windows 7?
Bei ganiUshauri wangu mkuu katafute gpu tu hata ya mtumba utaenjoy kama mimi nilipata ya mtumba naenjoy game nyingi tu bila shida
sio magame yote yapo sawa,Hii pes ni mara ya kwanza kuingiza humu, ila magame mengine kama call of duty 4modern warfare kwenye window 7 ilikuwa inacheza vizuri ila kwa sana inagoma sana
Asante mkuu, kwahiyo solution ya hili tatizo ni kufanyaje?sio magame yote yapo sawa,
jaribu pes 13 ndio jepesi na lakisasa kwenye familia yapes
ukieka gpu litachezeka, au jaribu ku update driver kama nilivyokwambia hapo juuAsante mkuu, kwahiyo solution ya hili tatizo ni kufanyaje?
Okukieka gpu litachezeka, au jaribu ku update driver kama nilivyokwambia hapo juu
Wakuu Nimeingiza game la pes 2017 ila nikitaka kulifungua naandikiwa " Unable to initiate stream Api" msaada tafadhari kwa mwenye kujua jinsi ya ku fix tatizo hili.
Natanguliza shukrani
pamezibwa![]()
Asanteni ngoja nijipange sasahata mimi matatizo kama hayo ktk games nyingi yalinipata hivyo nilibidi kutafuta GPU nilifanikiwa kupata gpu katika mtandao wa aliexpress.com nilipata
nvidia GT610 2gb ddr3 kwa elfu 90 ambayo naifurahia kwa sababu inasukuma almost games zote kwa low mpaka medium .30 hadi 60 fps kwa games nyingine
kwa hiyo hapo inabidi utafute gpu mkuu angalau 1gb ddr3
Nilipata used nvidia geforce gt520, 1gb kwa shilingi 100000. Pots 1dvi, 1hdmi, 1vga.
okAsanteni ngoja nijipange sasa
Oy mkuu mimi pes 2016 mbonakuseti pad mbili moja bado inakataa kuwa inafanya kazi na pad zote nzima
chomeka pad zote mbili halafu nenda katika setting itakayoonekana kama hiviOy mkuu mimi pes 2016 mbonakuseti pad mbili moja bado inakataa kuwa inafanya kazi na pad zote nzima
chomeka pad zote mbili halafu nenda katika setting itakayoonekana kama hivi
Poa nimefanikiwa shukrani.
Mkuu nimeingiza game la Tom Clancy endwar ila nikitaka kulaunch kama linataka kufunguka halafu unakuja ujumbe huuili ucheze two player inabidi kifaa chengine kiwe tofauti na mwanzo, mfano unaweza cheza pad na keyboard. sijawahi jaribu ila nafkiri pad ya xinput na directinput zinaweza cheza pamoja.
issue nyengine mkuu ya kujaribu kabla ya mechi si inakuja sehemu ya kuchagua controller? anaeshika pad ya pili abonyeze direction ya kulia ili pad ya pili iwe player 2
![]()
probably hujameet minimum specification za game,Mkuu nimeingiza game la Tom Clancy endwar ila nikitaka kulaunch kama linataka kufunguka halafu unakuja ujumbe huu![]()
Sijui una maana gani