Joshua robin
Member
- Aug 27, 2013
- 36
- 6
wakuu naombeni msaada wenu kwani nilijaribu kuchukua mara ya kwanza pdf alafu baada ya muda ikawa kila niiifungua inanidai kodi, ikabidi niifute,,,,.sasa kila nikiitafuta ili ni download siioni BUT naitaji msaada wenu simu yangu n nokia 6300:help: