Madagiz
Senior Member
- Feb 1, 2013
- 185
- 56
Jaman wana jf,pc yangu betri ilianza kuchoka,ikawa haikai na power.Ukizima umeme nayo imezimika,bado cjafanya replacement ya kuweka betri nyingine ila sa hvi ukichomeka 2 umeme inawaka na kujizima yenyewe,inafanya mchezo huo 2 haitaki kuingia kwenye program.Hili tatzo ni la betri au kuna shida nyingne wadau,msaada plz