MSAADA:pc inaniletea mauzauza

MSAADA:pc inaniletea mauzauza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
139
jaman nina computer kubwa aina ya dell tatizo lake ni kuwa haiwaki ili nitumie,
nikiconect waya wa umeme then nika bonyeza hii power on button haiwaki badala yake ile botton inawaka taa yenye rang ya ORANGE but pc yenyewe haiwaki ila ile batan pekee ndo inwaka huo mwanga plz any help on trobleshooting this problem.
 
Check na power supply mkuu. But km kuna beeping umezisikia unapowasha check na ram pia.
 
onana na mtaalamu Bakulutu naye atakkusaidia kwani ndo kazi kaze hizo mPM tu atawasilinananaye
jaman nina computer kubwa aina ya dell tatizo lake ni kuwa haiwaki ili nitumie,
nikiconect waya wa umeme then nika bonyeza hii power on button haiwaki badala yake ile botton inawaka taa yenye rang ya ORANGE but pc yenyewe haiwaki ila ile batan pekee ndo inwaka huo mwanga plz any help on trobleshooting this problem.
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana umeme ni mdogo hebu angalia kwenye output ulipochomeka powercord kama iko low voltage 110v badala ya 220
 
Mkuu tatizo ni common sana hapo ni power supply imekufa lazima ubadilishe inaingiza umeme kidogo sana
 
Power supply yako ndio imekufa, nunua tu nyingine, na tatizo litaisha.
 
Naona majibu ya Power Supply ndio sahihi kabisa kwani inachotakiwa nbi taa ya kijani sio njano.
Je feni inazunguka? maana kuna feni zaidi ya moja angalia na ile ya kwenye Processor
Mwisho mpelekee mtaalam aliye karibu na wewe usijepoteza Dell kwani ni jiwe hilo
 
Asanten kwa michango yenu,
tatzo wakuu,
Tatzo langu limekwisha!!!
Niliifungua nkatoa Ram moja nkawasha then haikuwaka,
badae nkabadili Ram (lile 2ndu ambalo nlilitolea nkalrudishia then lile jngne nkalitolea)
gafla nkaona k2 kama ka mwanga (short) ktk port ya USB ilyopo karbu na port ya ethernet
(keyboard ilkua connected)
nkaichomo then nkazrudsha RAM zote
IKAWAKA!
 
Back
Top Bottom