mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Habar zenu wanaJF..
Hii ni post ya kwanza kwnye jamvi hili, natumaini ntapata ushirikiano wa kutosha (In shah Allah)
Nimepata changamoto kwnye PC yngu. Natumia dell lattitude 64000. Mara ya mwsho kupandisha windows ilikua ni miez minne ilopita. Kila litu kilikua sawa. Lakn juzi nilitaka kununua charger ya io pc yng, nikaijaribisha taa inayoindicate kua chrge inaingia iliwaka, so nikajiridhsha kua charger ni nzma. Nikainunua. Sasa tangu jana asubuh mpk muda huu naandika hii thread humu, nimegundua changamoto ya ile charger nloinunua. Haicharge pc. Lkn inaonesha kwmba inaingia ila hai-recharge (nadhani nimeeleweka).
Tatizo lililoniskuma kuwashirikisha wanajukwaa ni hili: Nikijaribu kuiwasha PC haiwak, inaishia kwenye ku-reboot, then inawaka na kuzima kwa haraka haraka (kama sim iloingia maji...) na Power-button nayo inafany namna hyohyo (kutoa mwanga na kufifia...mpk ui-hold kuizima pc). Kwa kifup, changamoto iliopo ni pc kutokuwaka!
Naomna mniwie radhi, maana nahisi nimetoa maelezo yasiojitosheleza. Lakn nnamatumaini ntapata msaada kutoka kwa watakaonilewa kwny hk nlichokiandika hapa. Nataka kujua tatizo ni nini kabla cjaipeleaka kwa fundi!
Ahsanten in-advance