Msaada pc imekata sauti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada pc imekata sauti

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MDAU JR, Aug 30, 2012.

 1. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu pc angu imekata sound ilihali settings zote za sound/volume ziko sawa, naomba msaada au ndo ishakuwa "sekerepa?"

  Ni dell latitude D620.
  Natanguliza shukrani za dhati.
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwanza, umehakikisha hujaweka mute on either speakers or player unayotumia? kama umemute speakers za PC, pale chini patakuwa na icon ya mike imechorwa mute (picha baadaye). kwenye media players pia kuna kitu kama hicho. first jaribu ku mute/ unmute your PC and media player

  kuna aina tatu ya sounds in a computer. *system sounds, playback sounds (sauti za media unaocheza kwa computer), na BIOS sounds*. basically, system na playback sounds zinatoka kwa speakers. BIOS story nyingine..
  anyway, restart your computer (always a good thing to do when your computer isn't behaving as it should be) and zilkilizia the beep all computers have when booting. baada ya hapo (am assuming unatumia windows 7), sikiliza for the log-on sound. if hujaiskia, change the theme of your computer (ukibadilisha theme the new theme inatoa mlio wa theme yake). by then utakuwa unajua whether computer yako inatoa sauti. kama imetoa but your media player haitoi, itabidi uangalie what files unacheza. kama haijacheza any sound, lete feedback nitakupa instructions za kutest speakers through windows device manager
  regards, leh
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ahsante mkuu, ila nimefuata maelekezo yako yote bila mafanikio, naomba muongozo wako.
   
 4. leh

  leh JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  MDAU JR, umejaribu kutumia headphones au speaker za nje coz kuna uwezekano speaker za ndani zimekufa (tena nowadays ukihesabu kuwa electronics zinakuwa assembled kule china..)
  hebu jaribu, nitarudi later kukupa more instructions
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. NR'S

  NR'S Senior Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  jombaaaaaaaaaaa pole sana iyo mambo hata kwangu ashawahi kutokea nanikacheck sound driver zote zipo sawa ikawa bado nilicho kifanya nilipiga window chini.so kama vipi we eka window mpya kk hapo amna solution zaidi ya hii:flypig:
   
 6. m

  mdau kbt JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  akhsanteni wadu wote maana nami nimekutana nahilo tatizo
   
 7. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Even me wadau, hata headphone hazikubal
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2013
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Natatizo kama hilo kweny pc lap top yangu ya emachine na dell msaada tafadhali wadau
   
 9. SuperImpressor

  SuperImpressor JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 1,016
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hebu angalia kama una Nokia PC Suite hata yenyewe inafunga sauti na kama ipo jaribu kuitumia kuongeza sauti
   
 10. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2013
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  hapo ishu ni sound card tu.coz hata mimi ninatatzo hlo na nikapeleka had kwa fundi akafungua na akagundua hardware ya sauti (sound card) imezingua hapa nilipo naisubiria nyngne toka dar coz saiv npo songea
   
Loading...