kuku mwenye mimba
Member
- Jan 27, 2015
- 21
- 3
Nani anaitumia hiyo card? Omba statement au kama unaweza kuingia katika hiyo akaunti mtandaoni fuatilia shughuli zake na salio ujiridhishe kuwa ulifanya malipo wakati salio halikutosha.
Kirefu cha iyo bank yako UBA
Kutoa mpaka kupitiliza salio unaloruhusiwa kutoa (overdraw) si suala la kuaminiwa, kwani hapo ndipo wanapotengeneza pesa kwa kukuchaji overdraw fees. Ni muhimu ujue credit limit waliyokupatia ili kuepuka kuchukua pesa zaidi ya kiasi cha mkopo unachoruhusiwa kukopa. Na kama una uhakika hujatoa zaidi ya limit, wapigie ai watumie email kupinga pesa walizokukata.Mi ndiye ninaye itumia kadi.nimeingia online ,hyo overdraw siion.nimeomba statement wamenipa.wame hilight sehemu wanayo dai ni overdraw ,lakin ni siku niliyotoa kiasi kamili cha pesa.nachojiuliza inawezekana vip ku overdraw 400,000 katika kadi y kwanza na 130,000 kqtika kadi ya pili.wataniaminije hadi ni overdraw?nisipo weka hela na nimeoverdraw si watapata hasara?ili kupata credit card hakuna dhamana yoyote inayo wekwa.ni unaenda na kitambulisho na kujaza form tu.kitu kisicho kuwa na dhamana iwe wani ruhusu kutoa over amount?
Kutoa mpaka kupitiliza salio unaloruhusiwa kutoa (overdraw) si suala la kuaminiwa, kwani hapo ndipo wanapotengeneza pesa kwa kukuchaji overdraw fees. Ni muhimu ujue credit limit waliyokupatia ili kuepuka kuchukua pesa zaidi ya kiasi cha mkopo unachoruhusiwa kukopa. Na kama una uhakika hujatoa zaidi ya limit, wapigie ai watumie email kupinga pesa walizokukata.
ilishawahi nitokea kwa CRDB waliniambia pia nimefanya overdraw kwa debit card niliamua tu kuisusa account coz deni lilikuwa kubwa na hata waliponieleza sikuwaelewa
Wakati unachukua hiyo CC ulisoma fine print?
mm pia walinikata na the situation ilikuwa kama yako nilikuwa nje ya nchi pia na emails unatuma jibu after 5days nikaona nisuse tu a/cmi ndo washanikata mkuu
mm pia walinikata na the situation ilikuwa kama yako nilikuwa nje ya nchi pia na emails unatuma jibu after 5days nikaona nisuse tu a/c
Wapigie simu uongee nao, nahisi hapa hatuelewani, sikuelewi. Credit card unaanza kutumia halafu unalipa baadae kile ulichotumia. Sasa unasema unawekewa fedha kwanza halafu ndio unatumia? Pengine uliyonayo ni debit card. Hapa hutapata jibu la kutatua tatizo kwa asilimia 100, wasiliana na benki yako muelewane ni nini kinaendelea.Mkuu iko hivi.
Huwa nawekewa fedha zangu kwenye kadi Tanzania,then ninatoa huku niliko.charges za kawaida ninakatwa.tatizo limekuja juzi nilifanyiwa online transfer ya tsh 200,000.salio lililopo ni pungufu ya 130,000.na maximum ya kutoa fedha kwa mwezi ni tsh 18 million.na sijawahi fikisha hyo fedha katika mwezi wowote.
Wapigie simu uongee nao, nahisi hapa hatuelewani, sikuelewi. Credit card unaanza kutumia halafu unalipa baadae kile ulichotumia. Sasa unasema unawekewa fedha kwanza halafu ndio unatumia? Pengine uliyonayo ni debit card. Hapa hutapata jibu la kutatua tatizo kwa asilimia 100, wasiliana na benki yako muelewane ni nini kinaendelea.
Wapigie simu uongee nao, nahisi hapa hatuelewani, sikuelewi. Credit card unaanza kutumia halafu unalipa baadae kile ulichotumia. Sasa unasema unawekewa fedha kwanza halafu ndio unatumia? Pengine uliyonayo ni debit card. Hapa hutapata jibu la kutatua tatizo kwa asilimia 100, wasiliana na benki yako muelewane ni nini kinaendelea.
Sawa. Cha muhimu ni kuwasiliana nao.thanks mkuu kwa kunishtua.ni visa prepai card na sio credit card.