MSAADA OPPO A53

MSAADA OPPO A53

Niliwahi kua na oppo R7s Yenye tatizo kama lako!hukununua kenya Mkuu?maana tatizo ni kua hiyo simu haisupport Bands za Tanzania!ipo tu hapa niliamua kununulia mobile wi-fi.....
Nadhani shida ni bands tu hapo inasupport za Gsm na ninahisi ni Chinese version hiyo kwa sasa halotel wana 4g ambayo ipo band 7(2600) jaribu hiyo mkuu labda itasoma...mtandao pekee unaoweza kupanda 4g ni smile.
ahsante but npo sehem 4G cjui kama itasuport pande za ilula iringa na lain za 4G halotel bado hazjafka na kipnd cha nyuma walikuwa hawajaifungua 4G
 
Niliwahi kua na oppo R7s Yenye tatizo kama lako!hukununua kenya Mkuu?maana tatizo ni kua hiyo simu haisupport Bands za Tanzania!ipo tu hapa niliamua kununulia mobile wi-fi.....
Nadhani shida ni bands tu hapo inasupport za Gsm na ninahisi ni Chinese version hiyo kwa sasa halotel wana 4g ambayo ipo band 7(2600) jaribu hiyo mkuu labda itasoma...mtandao pekee unaoweza kupanda 4g ni smile.
mobile wi-fi n nn mkuu
 
Pole sana ndug yangu inawezekana hilo tatizo la cm yako ni la mda mrefu ndio maana mwenyewe aliamua kuiuza ila aikukatishi tamaa hangaika nayo uone itakuwaje
n kwel cm iko poa betry chaj mkataba na camera ndo hatar tatzo net tu ndo nakusa usngz
 
Back
Top Bottom