MSAADA OPPO A53

MSAADA OPPO A53

bartista

Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
72
Reaction score
55
NAOMBA MSAADA NINA SIM AINA YA OPPO A53 KWENYE SETTING INAONYESHA INASHIKA 2G,3G,4G LAKIN INAISHIA KUSHIKA E HATA NIKIWA MJIN NMEBADIL LAIN LAKIN BADO BAS PLZ MWENYE KUFAHAM JMN
 
Nenda Settings
Kisha Mobile Networks
Kisha Network Mode

Post screen shot tuone
Tanzie hapo
 
check hiyo broView attachment 1209721
Screenshot_2019-09-17-12-29-18-18.jpeg
 
Simu yako sio ya ofa?
NAOMBA MSAADA NINA SIM AINA YA OPPO A53 KWENYE SETTING INAONYESHA INASHIKA 2G,3G,4G LAKIN INAISHIA KUSHIKA E HATA NIKIWA MJIN NMEBADIL LAIN LAKIN BADO BAS PLZ MWENYE KUFAHAM JMN
 
sio icheck hapo [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2019-09-16-15-00-05-40.jpeg
 
Ninavyojua hapo inawezekana hyo simu alichukua kwenye makampuni ya simu MF. Tigo shop,voda shop...simu hizo huwa locked line ya mtandao husika tu ndio hupandisha H+,Pia jaribu ku updates ya software,,,pia hebu jaribu kuweka 3G only kwenye setting hapo,ikishindikana
nilinunua kwa mtu
Labda uflash simu!!
 
Pole sana ndug yangu inawezekana hilo tatizo la cm yako ni la mda mrefu ndio maana mwenyewe aliamua kuiuza ila aikukatishi tamaa hangaika nayo uone itakuwaje
NAOMBA MSAADA NINA SIM AINA YA OPPO A53 KWENYE SETTING INAONYESHA INASHIKA 2G,3G,4G LAKIN INAISHIA KUSHIKA E HATA NIKIWA MJIN NMEBADIL LAIN LAKIN BADO BAS PLZ MWENYE KUFAHAM JMN
 
Nina HTC one M9 nimeinunua AliExpress yapata mwezi sasa ilikuja na shiida hiyo ila ghafla ni kama limepotea sasa
 
Mimi nina oppo a3s inatumia laini moja tu [emoji3525][emoji3525][emoji3525]natamani iwe laini mbili lkn inashindikana
 
Una uhakika hiyo model inafaa kwa matumiz ya Tz?. Yawezekana haishiki 4G bands Za tz
 
Simu za oppo zote ni dual sim!inategemea na chip waliokuwekea ndani wakati unanunua.....unaweza kubadil chip ya dual sim na ikasoma bila tatizo.
Mimi nina oppo a3s inatumia laini moja tu [emoji3525][emoji3525][emoji3525]natamani iwe laini mbili lkn inashindikana
 
NAOMBA MSAADA NINA SIM AINA YA OPPO A53 KWENYE SETTING INAONYESHA INASHIKA 2G,3G,4G LAKIN INAISHIA KUSHIKA E HATA NIKIWA MJIN NMEBADIL LAIN LAKIN BADO BAS PLZ MWENYE KUFAHAM JMN
Niliwahi kua na oppo R7s Yenye tatizo kama lako!hukununua kenya Mkuu?maana tatizo ni kua hiyo simu haisupport Bands za Tanzania!ipo tu hapa niliamua kununulia mobile wi-fi.....
Nadhani shida ni bands tu hapo inasupport za Gsm na ninahisi ni Chinese version hiyo kwa sasa halotel wana 4g ambayo ipo band 7(2600) jaribu hiyo mkuu labda itasoma...mtandao pekee unaoweza kupanda 4g ni smile.
 
Mkuu, Nenda Setting >Mobile Networks >Preferred Network Type > 4G/3G/2G/AUTO
kisha rudi nyuma Angalia Internet >Chagua Tigo, Voda etc
Angalia Mobile Data uwashe.
Anza kutumia hautajutia.
 
Mkuu, Nenda Setting >Mobile Networks >Preferred Network Type > 4G/3G/2G/AUTO
kisha rudi nyuma Angalia Internet >Chagua Tigo, Voda etc
Angalia Mobile Data uwashe.
Anza kutumia hautajutia.
nshajarbu mara.kadhaa had kubadr lain ngoma bado mbichii
 
Back
Top Bottom