Msaada on laptop adapters.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kuna kitu huwa nakiona katika laptop adapters nyingi. Huwa ni kama cha duara hivi na kinawekwagwa kabla ya pin ya kuchomeka adapter katika laptop. Sasa nimeshindwa kuelewa ni cha kaz gan na kina umuhimu gani kwan kuna adapter zinazo nyngne znazo na nyngne hazina. Pia ningependa kujua kitaalam kinaitwaje..?
 
Unaposema latop adaptor kuwa specific

Power supply adaptaor?
Network adaptor?
ect daptor

La sivyo utapata majibu tata. Buthope unaulizia power adaptor
 
Ni power adapter. Yan ile inayoconvert 220v a.c to d.c voltage kwa ajil ya kuchaj battery ya laptop.
 
Back
Top Bottom