Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Wakuu leo yamenikuta!
Nimetoka nje mara moja kwenda kufunga vioo vya gari vizuri ile nataka nirudi mlangoni kwangu niingie ndani naona joka kubwa refuu linapotelea ndani kwangu.
Na kupo giza ndani na nyumba ina rooms 3 store na jiko.Ameingilia mlango wa jikoni.
Nifanyeje maana wife yupo chumbani na mtoto na wameshalala.
Naombeni ushauri.