Msaada Note 4 Haikubali ku Connect na PC Via Usb

Msaada Note 4 Haikubali ku Connect na PC Via Usb

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Nina samsung Note 4 lakini bahati mbaya haikubali kuconnect na Pc kupitia Usb....hata haisomi zaidi ya kuonesha tuu kuwa inacharge hata Usb yake niliyo nunua pamoja na simi nayo haikubali inaonesha tuu charging msaada tafafhari
 
1. inawezekana haina driver, solution yake ni kueka driver, eka kies kama mdau wa juu alivyosema automatic itaeka driver

2. cable sio nzima inachaji tu solution badili cable

3. simu imebadilishwa usb au system charge na fundi ameunga tu waya za kucharge hajaunga za data.

unaweza tumia wifi kushare mafile baina ya pc na simu
 
Kaka hii kies niweke kwa simu au pc? Niliweka kwenye Pc haikufanya kazi labda kwa vile nilikuwa sijarestat pc!
 
Kaka hii kies niweke kwa simu au pc? Niliweka kwenye Pc haikufanya kazi labda kwa vile nilikuwa sijarestat pc!
lengo la kies ni kueka drivers, kama umeieka na still haisomi inamaana una tatizo la waya au port ya simu
 
Kwa kutumia wireless inakuwaje
inabidi vifaa vyote viwili viwe kwenye netowrk moja, mfano unatengeneza hotspot na simu halafu unaconect na pc, halafu uwe na apps ya kutumia hayo mafile

mfano unaweza download dukto kwenye simu na kwenye pc ukatumia kutuma mafile
 
Nimesolve hilo tatizo kwenye simu nyingi za samsung kwa hii njia fupi:
-nenda kwenye uwanja wa kupigia simu alafu type *#0808# then ikija menu tap MTP+ABD
kama inavyo onekana kwenye picha hapo
Samsung-Galaxy-S4-List-of-Secret-Codes-and-Uses-9.jpg
Samsung-Galaxy-S4-List-of-Secret-Codes-and-Uses-9.jpg
, i hope that will work
 
Back
Top Bottom