Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,890
Simu yangu Nokia Lumia 625 inajizima yenyewe,hili tatizo limeshatokea kama mara mbili/tatu sasa,mwanzo ilijizima haikuwaka mpaka nilipoiweka kwenye charge,leo imitokea tena asubuhi ilijizima battery ikiwa full charge nikaiwasha haikuwaka mda ule ule ikakaa kama nusu saa ikawaka,ina tatizo gani wakuu,nina tabia ya kuilaza kwenye charge hadi asubuhi hii inaweza kuwa inachangia tatizo hili.