Habari mkuu naomba msaada kwa hayabadilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.
1.Naomba unisaidie jinsi ya ku unlock network ya blackberry 9720 kama tutorial au kipi ma kipi niwe nacho ili nifanye hili mwenyewe.
2.Naomba kufahamu wapi ntapata kioo na touch ya nokia lumia 520 kwa kiasi gani.Ahsanteh mkuu.