Msaada; nokia lumia 520

Msaada; nokia lumia 520

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Imedondoka... imepata nyufa kidogo kwenye kioo cha juu lakini wino haujavujia! Swali; kuna haja ya kununua screen mpya? Ama hiihii yaweza fanyiwa matengenezo?
 
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.
 
nimeona ebay lumia zinauzwa kwa bei ya kutupa hasa 520
 
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.

Ebay Kuna procedures nyingi.Kama atapatikana wa kumuagiza hapo sawa.
Kwan madukan sh ngap maana mi pia kimepasuka
 
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.

Elimu haina mwisho, naomba kuelimishwa: ebay ni nini? Umaarufu wa Nokia lumia ni upi ukilinganisha na samsung
 
Ok nimesearch nikaona ebay ni nini. Thanks! What is special with Nokia Lumia
 
Elimu haina mwisho, naomba kuelimishwa: ebay ni nini? Umaarufu wa Nokia lumia ni upi ukilinganisha na samsung

ebay ni mnada na duka la kuuzia vitu online, watu mbalimbali toka nchi tofauti duniani huuza vitu vyao kupitia ebay. na sijasema lumia ni maarufu, bali lumia 520 ndio maarufu, kwa miaka kama miwili 2013/2014 imekuwa ndio simu inayouza sana ya bei rahisi. mpaka june 2016 unit milioni 12 zilikuwa zimeshauzwa hivyo sababu simu ni maarufu basi hata acessory zake zinakuwa nyingi kama macover ya simu, screen protector, hizo front glass nk.
 
badilisha front glass hakuna haja ya kununua kioo kipya. ebay zipo hadi chini ya dola 5 na free shiping ya kimataifa nafkiri hata madukani zitakuepo hapa bongo maana hio simu ni maarufu sana.

asante mkuu... Naomba kuuliza tena! Nikibadili 'front glass' screen ita 'sense'? Coz toka imedondoka kila niki 'touch' haitoi response yoyote!
 
Asante sana kwa elimu. nasikia Nokia wanatumia windows version 8, wanazisifia sana! hii ina tofauti gani na simu zingine kwani zinatumia program gani
 
asante mkuu... Naomba kuuliza tena! Nikibadili 'front glass' screen ita 'sense'? Coz toka imedondoka kila niki 'touch' haitoi response yoyote!

yap jina jengine front glass ni touch screen digitizer, jaribu agreyy ulizia kwa rich wana hivyo vitu vingi tu. ila kuwa makini mafundi wengi watataka wakubadilishie full usikubali kama kioo ni kizima.
 
asante mkuu
 
hii kwangu lumia 625 imepasuka kioo cha mbele lakn inafanya kazi nilienda kwa fundi mmoja akaniambia kubadilisha ni tsh 100000/ yupo sahihi au anataka kuniibia
 
Imedondoka... imepata nyufa kidogo kwenye kioo cha juu lakini wino haujavujia! Swali; kuna haja ya kununua screen mpya? Ama hiihii yaweza fanyiwa matengenezo?
badilisha touchscreen km maandishi yanaonekana (touch sreen zipo hata mimi ninazo)
 
hii kwangu lumia 625 imepasuka kioo cha mbele lakn inafanya kazi nilienda kwa fundi mmoja akaniambia kubadilisha ni tsh 100000/ yupo sahihi au anataka kuniibia
kama alivyokujibu jamaa hapo juu, hilo ni tatizo la touch kama unaona inamaana display ni nzima.
 
mimi nauza Nokia Lumia 520 pamoja na chaji yake 100,000 tu.
 
Back
Top Bottom