bonyeza hiyo namba *#7370# kama ilivyo, simu ittakueleza uweke security code,huwa ni 12345 kama haijabadilishwa, itajizima na kuwaka itajirudisha kama ilivyokuwa wakati imenunuliwa. Ni njia ya kuformat simu za nokia,
cjui kwa nn ila nmeona e72 3 znazngua sehem ya camera... Mayb jarbu kufanya hardware restoring ... Pha *#7370#Wakuu , hapo awari nilikuwa natumia simu ya NOKIA 2700classic. Lakini wiki tatu zilizo pita kuna mama nimebadilishana nae , yeye amenipa simu ya NOKIA E72 original. Sasa kwenye hii simu E72 nikienda kwenye camera inagoma na inarudi kwenye MENU. Wakuu tatizo litakuwa ninini? Na je inaweza kurekebishika ? , WAKUU anayejua anisaidie tafadhali
mi natumia hiyo hiyo e72, kitufe cha space kinatumika kuwasha flash kama tochi na kuzima.kuwasha unahold space bar mpaka iwake,ila lazma uwe kwenye page ya mbele ya simu inyokuwepo kama vile ukiwasha simu ikawaka. Pengine labda hiyo operating system yake ina shida,njia nyingine naona ni kuiflash kabisa kwa fundi.
mkuu hapo umenipa msaada kwenye flash thanx alot
Mkuu ningeshukuru kama ungenipa jina la fundi ambaye ataweza kunisaidia, maana nimeshapeleka kwa mafundi zaidi ya wawili wameshindwa.hio sio shida ya software niliwahi letewa simu kama hio nilijaribu njia zote hadi ku update firmware lakini tatizo halikuondoka possibly camera imejidisplace nenda kwa fundi
wakuu nashuru sasa hivi tayari camera inafanya kazi. Ila nimeangaika sana, maana mafundi kadhaa walishindwa. Yaani fundi mwingine ile unamwambia tu tatzo la simu, hapo hapo anakwambia mi siwezi. kumbe jamani tatizo lilikuwa kamera imekufa, hivyo kuna fundi nilipo tu simu hapo hapo akaichomoa kamera akaweka nyingine na ikawa ina fanya kazi vizuri kabisa.