katuni
Senior Member
- Dec 8, 2012
- 151
- 77
Wakuu , hapo awari nilikuwa natumia simu ya NOKIA 2700classic. Lakini wiki tatu zilizo pita kuna mama nimebadilishana nae , yeye amenipa simu ya NOKIA E72 original. Sasa kwenye hii simu E72 nikienda kwenye camera inagoma na inarudi kwenye MENU. Wakuu tatizo litakuwa ninini? Na je inaweza kurekebishika ? , WAKUU anayejua anisaidie tafadhali