Msaada nokia asha 311

Msaada nokia asha 311

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Kwa ambae anatumia, au ana ufahamu na simu aina ya Asha 311, naomba kufahamishwa matumizi au kazi ya kifaa/mfumo ulio wekwa kwa mbele ya hii simu umekaa mfano wa front camera lakini sidhan kama ni camera.
 
Attention chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
mkuu hio ni proximity sensor ambayo ni must iwepo kwenye touch screen. kazi yake inaangalia je mwili wako upo karibu na simu? je skio sasa limegusana na simu? ikihakikisha sikio limegusana na simu basi inazima mwanga na kufanya touch isfanye kazi ili kusave battery na kukuzuia wewe kugusa gusa screen wakati unaongea.

simu zisizo na proximity sensor ndo unakuta unaongea na simu shavu limegusa screen sehemu ya kukata simu inakatika
 
ok mkuu thanx nimekupata now, coz nilijaribu kuiziba na kidole while nampigia mtu simu mwanga wa simu ukazima nilipo toa kidole mwanga ukawaka. Xo kwa maelezo yako nimekupata.
 
Back
Top Bottom