Usiwa ogopeshe watu nimemnunulia maza haka kasimu na anaka enjoy kila kitu kinafanya kazi kama advertised by android lakini najua tuu viber ndo haifanyi kazi. applications nyingine zinapiga mzigo kama kawaida, ukiondoa tatizo la batriii inaisha mapema ukitumia maaplication. By the way maza yangu pia anayo asha 200 ndo maana nasema ni vimeounaweza kununua kaka,
Zipo samsung android za bei rahisi ambazo bei ni juu kidogo ya asha ila usiexpect kuenjoy features za android maana zina weakness hizi hapa
-camera zake ni 2mp nyingi zao
-hazi suport flash
-ram zake ndogo chini ya 256 nyingi 128
-rangi ni 256k
-video inachukua 320x240 15fp (very bad quality)
-haina gprs ina edge na 3g sahau network vijijini maana gprs rulesss in tz
-havina gorilla glass kikidondoka tu screen inapasuka
Yani inshort vimetengenezwa cheap kila idara
Tena ukiangalia vina run android ginger 2.3 os kubwa specification ndogo lazma ufanisi ushuke.
Kapitie pitie kwa mafundi utavikuta kibao
Usiwa ogopeshe watu nimemnunulia maza haka kasimu na anaka enjoy kila kitu kinafanya kazi kama advertised by android lakini najua tuu viber ndo haifanyi kazi. applications nyingine zinapiga mzigo kama kawaida, ukiondoa tatizo la batriii inaisha mapema ukitumia maaplication. By the way maza yangu pia anayo asha 200 ndo maana nasema ni vimeo
Hebu ulizieni simu zenye mashiko sio vimeo lol
wewe ndio bwge tena kichwa u...ji we simu ya 140,000/= ikuanzishie thread we vipi bana siuuze ununue inayofaa.ziko simu simple sana mfano nokia x2 mbona ni simu bomba tu .funga domowe kama uliona hazina mashiko kiherehere gan kiliku2ma kufungua hi segment bwge we..!
Hebu ulizieni simu zenye mashiko sio vimeo lol
wewe ndio bwge tena kichwa u...ji we simu ya 140,000/= ikuanzishie thread we vipi bana siuuze ununue inayofaa.ziko simu simple sana mfano nokia x2 mbona ni simu bomba tu .funga domo
we kama uliziona hazna mashiko kiherehere gan kiliku2ma kuifungua hi segment; acha kucomment shudu we
KUMBE IMEKUUMA SABABU UNAYO MKONONI KAZI KWELIKWELI WATU WA AKILI ZAKO TUNAO WACHACHE SANA HASA WANAPATIKANA KULE KARIAKOO SHIMONI teh teh tehsa we kama unaona x2 ndo dil mamb ya hiz asha 2achie wenye nazo co kila segment unatakiwa ucomment punguza umbea kw yacyokuhusu
hizi cm ninazo dukani kwangu ni pm, ni 1cm na 2cm samsung ace duos gt6802 420000, na samsung GT6102 ni 320000, na sams champ deluxe ni 155000 zote zinafanya kila kituUsiwa ogopeshe watu nimemnunulia maza haka kasimu na anaka enjoy kila kitu kinafanya kazi kama advertised by android lakini najua tuu viber ndo haifanyi kazi. applications nyingine zinapiga mzigo kama kawaida, ukiondoa tatizo la batriii inaisha mapema ukitumia maaplication. By the way maza yangu pia anayo asha 200 ndo maana nasema ni vimeo
Hebu ulizieni simu zenye mashiko sio vimeo lol
Ni vimeo sana bora ununue simu nyingine kama samsung pocket au ideosi ambazo zinatumia android kama software. Najua Chief utapinga lakini huo ndo ukweli wa mambo
Nilijaribu kupata link ya Nokia applications inaonekana watu wengi wanalalamikia hizi Nokia Asha 200,tatizo ni hilohilo la kugoma kwa baadhi ya applications,nadhani Nokia wakubali udhaifu kwamba kuna tatizo katika software zao,kwani hata ukiflash au uki-restore hazikubali.