Msaada Nokia 7210 Supernova ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Nokia 7210 Supernova !

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by DAWA YA SIKIO, Apr 16, 2012.

 1. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakuu naomba msaada kwa simu hii.
  Tatizo ni;
  Ukiongea kwenye simu au ukisikiliza muziki / radio inakata na kutoa mwanga mweupe kila baada ya dakika 1 au 90secs. Kisha inarudia hali ya kawaida lakini ikiwa imekata mawasilino ya awali.
  Nilidhani tatizo ni betri,nimebadili bila ufumbuzi.
   
Loading...