- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu tour imefanikiwa ipasavyo kabisaFika karume ofisi za TFF panda za kigamboni zipo za kutosha na Leo hakuna kigombania magari nauli 450 unashushiwa kituo cha darajani. Ila ili uliienjoy vizur kwa msingi wa utaliii shukia kituo cha biashara