MSAADA NISSAN VANETTE


teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
272
Likes
24
Points
35
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
272 24 35
Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea fundi hakuona koki kwa ajili ya kudrain ile ya zamani na hapo ndipo nikaanza kuuliza wengine, fundi mmoja akasema gari hizo huwa hazibadilishiwi oil ya gia, mwingine akasema nitoboe tundu chini kwenye sampo niweke bolt, mwingine akasema legeza main pipe na uwashe gari yaani mpaka hapa
1479980686379-jpg.438870
sijaelewa nifanye nini?
 
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
272
Likes
24
Points
35
teac kapex

teac kapex

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
272 24 35
Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea fundi hakuona koki kwa ajili ya kudrain ile ya zamani na hapo ndipo nikaanza kuuliza wengine, fundi mmoja akasema gari hizo huwa hazibadilishiwi oil ya gia, mwingine akasema nitoboe tundu chini kwenye sampo niweke bolt, mwingine akasema legeza main pipe na uwashe gari yaani mpaka hapa View attachment 438870 sijaelewa nifanye nini?
Sasa hili jukwaa halina wataalamu wa magari? Kusudi lake ninini sasa mbona hakuna msaada?
 
Baraka sheni

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Messages
422
Likes
124
Points
60
Baraka sheni

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2015
422 124 60
mkuu hapana hao sio mafundi sizani kama kuna garioil yake hadi utoboe ndio utoe koki ipo kwa pembeni kuna benz moja ilikuja ilikuwa kama hivo tatito hao mafundi wako hawako makini kwani ww uko wapi?
 
W

watown

Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
38
Likes
16
Points
15
Age
34
W

watown

Member
Joined Sep 25, 2016
38 16 15
Hebu jaribu kusearch YouTube wanaweza kukuonyesha hiyo lock
 
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
2,083
Likes
36
Points
145
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
2,083 36 145
dah..hao mafundi hatari sana
 
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
693
Likes
656
Points
180
Age
25
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined Aug 5, 2017
693 656 180
Mafundi was bongo imenibidi nicheke kwanza....
 
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
782
Likes
217
Points
60
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
782 217 60
Sorry ni uzi wa siku nyingi, lakini huitaji kubadiri oil ya gear box, na ndo maana magari ya kisasa hayana cock ya ku drain
 
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
693
Likes
656
Points
180
Age
25
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined Aug 5, 2017
693 656 180
Sorry ni uzi wa siku nyingi, lakini huitaji kubadiri oil ya gear box, na ndo maana magari ya kisasa hayana cock ya ku drain
Sawa mkuu....ila JF kuna watu hua hawajibiwi kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,274,333
Members 490,676
Posts 30,508,619