Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 672
Habari ndugu wa JF, nataka nijue utofauti kati ya FAX na SMS.
FAX ina nini cha ziada kuliko SMS maana yake naona kwenye address za Kampuni nyingi wanapenda kutumia hiyo
Pia, nahitaji kujua inatumia channels gani kutuma meseji kutoka kwa mtumaji hadi mpokeaji?