Msaada: Nini Matumizi ya Hii Button

Msaada: Nini Matumizi ya Hii Button

Kama una namba za gari na tarehe ya Safari tafadhali weka viambata ili kama ofisi aweze kupewa Onyo tumekua tukiwasihi mno kuwa na lugha nzuri kwa wateja

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye bus za ABC upper class, hiyo button huwa wanawaambia abiria ukiwa na tatizo unabonyeza then anakuja kukusikiliza. Hata BM za Arusha to Dsm Kama sijakosea.
 
Kazi yake ni kumuita dereva akuletee maji,sasa dereva akaona unazingua
 
Poleni.

Huyo dereva ni mshamba. Nawashauri mbonyeze hizo button mara kwa mara ili azoee, hasira na matusi yataisha. Safari itaendelea vizuri tu na vicheko.

HII NDIYO BONGO
 
Mabasi ya Dar-Moro-Dar huwa hayana makondakta anakuwa ni dereva peke yake basi. Hivyo ni swala gumu sana dereva kuendesha gari aje kumsikikizia abiria. Na isitoshe hiko kidude kikibonyezwa kinatoa mlio kwa dereva, asa fikiria kama mtu anafanya hivyo mara kwa mara inakuwa ni kero kwa dereva. Nimezunguza kwa uzoefu wa magari niliyowahi panda kwa kampuni zote nne (BM, AL SAEDY, NEW FORCE NA ABOOD) magari yote haya hayana konda kwa safari za maro dar moro
 
Kwahiyo mjomba Mkude unataka kusema sisi watu wa mikese ni washamba?
 
Mabasi ya Dar-Moro-Dar huwa hayana makondakta anakuwa ni dereva peke yake basi. Hivyo ni swala gumu sana dereva kuendesha gari aje kumsikikizia abiria. Na isitoshe hiko kidude kikibonyezwa kinatoa mlio kwa dereva, asa fikiria kama mtu anafanya hivyo mara kwa mara inakuwa ni kero kwa dereva. Nimezunguza kwa uzoefu wa magari niliyowahi panda kwa kampuni zote nne (BM, AL SAEDY, NEW FORCE NA ABOOD) magari yote haya hayana konda kwa safari za maro dar moro
Sawa. Je! ni haki kwa dereva kutoa lugha chafu na matusi kwa abiria? Je! abiria wakibonyeza hiyo 'button' (kwa bahati mbaya) inayomnyegelesha dereva, ina maana hakuna safari inayoendelea kwakuwa Dereva kachukia?

Kwa hayo mabasi yako uliyotaja (Dar-Moro-Dar) kama wahudumu wana tabia hiyo, ni vizuri wamiliki kupata madereva wenye uelewa wa huduma kwa abiria (custom care).
 
Back
Top Bottom