Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,436
- 50,163
Nilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?


