freeboy
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 242
- 191
Mkuu ungeweka na picha ya vidongr hivyo kama unayo ingekua rahisi sana kwa mtu anayeenda kununua.Kwa ww km shida ni nguvu tu mkuu nakushauri tumia Neuro support kwa muda wa miezi 3 mfululizo aisee utarejesha nguvu ya mwili mm ilifika kipindi nilikuwa sina nguvu kabisa but nilitumia kwa muda km huo kiukweli niliona mabadiliko makubwa sana.Dozi ya mwezi ni vidonge 30 ambayo ni 15,000