Flashfifty
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 226
- 563
Habarini ndugu zangu,
Tatizo langu ni kitu inatwa GERD msaada jaman kwa wataalamu wanaojua suluhisho lake jaman nateseka mno nikianza kutapika ni nyongo mtindo mmoja na maji machungu mithili ya mchanganyiko wa chumvi na ndimi naomba msaada tafadhali.