Msaada: Nina tatizo la GERD

Flashfifty

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
226
563
Habarini ndugu zangu,

Tatizo langu ni kitu inatwa GERD msaada jaman kwa wataalamu wanaojua suluhisho lake jaman nateseka mno nikianza kutapika ni nyongo mtindo mmoja na maji machungu mithili ya mchanganyiko wa chumvi na ndimi naomba msaada tafadhali.
 
pole mkùu jaribu kulamba jivu au weka jivu pamoja na maji kikombe kidogo changanya unywe NB;jivu kidgo tu ktk kijiko
 
Habarini ndugu zangu,

Tatizo langu ni kitu inatwa GERD msaada jaman kwa wataalamu wanaojua suluhisho lake jaman nateseka mno nikianza kutapika ni nyongo mtindo mmoja na maji machungu mithili ya mchanganyiko wa chumvi na ndimi naomba msaada tafadhali.
Gastroesophageal reflux disease (GERD) occurs when stomach acid frequently flows back into the tube connecting your mouth and stomach (esophagus). This backwash (acid reflux) can irritate the lining of your esophagus. Many people experience acid reflux from time to time.

What are the 4 types of GERD?

The Four Stages of GERD and Treatment Options

  • Stage 1: Mild GERD. Patients experience mild symptoms once or twice a month. ...
  • Stage 2: Moderate GERD. ...
  • Stage 3: Severe GERD. ...
  • Stage 4: Reflux induced precancerous lesions or esophageal cancer.
How can I treat GERD naturally?
So here are 14 natural ways to reduce your acid reflux and heartburn, all backed by scientific research.

  1. Don't Overeat. ...
  2. Lose Weight. ...
  3. Follow a Low-Carb Diet. ...
  4. Limit Your Alcohol Intake. ...
  5. Don't Drink Too Much Coffee. ...
  6. Chew Gum. ...
  7. Avoid Raw Onion. ...
  8. Limit Your Intake of Carbonated Beverages.
Mkuu umeshapona maradhi yako? Ikiwa hujapona nitafute mimi ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Nakutafuta Mkuu niko seriouz sana na hii kitu nahitaji kupona kabisa aisee ni mateso..nashukuru
 
Back
Top Bottom