Msaada: Nina roho mbaya sana

Uongo uliopitliza unakumbuka ulichoandika kua kulala na dadako kuna kutesa.ukasema we we ni mtu wa watu na unamwogopa Mungu



Ukiwa muongo tunza kumbukumbu.
Sawa mwisho wa akili za watu utaujua tuu.
Kwa hiyo hayo mambo ndio yamekugfanya uniamini mimi ni mtu mwema kabisa?

We iko siku utajichanganya tuu kwa mwanamke unaemchukulia easy.
 
me nina hasira nikikasirika kama nikioma naweza leta mazara .nakuraga ata majini ili asira iishe tu
 
Nadhani Inabidi Ufungiwe Chumba Kimoja Na SCORPION Alafu Ukitoka You Will Be A Changed Man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…