Msaada: Nina roho mbaya sana

Sasa mkuu kama unadhani ni nature we unadhani itabadilika kweli?
Mimi sijakulia kwenye maisha ya kugandamizwa useme nitakua na hayo mazingira! hiyo hapana Ila kuna vitu navitamani moyoni kama wewe unaposikia kiu.
 
Tena ni mambo ya kua nayo makini sana. Its too bad nchi yetu haitaki Ku recognise mental illness kama bipolar na ma sadists kama hawa. Ndomana MTU anajiuliza kwann scorpion kamtoa macho yule mkaka bcz tayari alikua ameshamchoma visu na kumuibia.watu hawaelewi amemtoa macho bcz he is sadistic he feel pleasure to do that.
 
Sasa mkuu kama unadhani ni nature we unadhani itabadilika kweli?
Mimi sijakulia kwenye maisha ya kugandamizwa useme nitakua na hayo mazingira! hiyo hapana Ila kuna vitu navitamani moyoni kama wewe unaposikia kiu.
Ndio maana nika kwambia ur a PSYCHOPATH not a sociopath. Kagoogle kaka .pia unaweza ukaacha tu bcz ukishajijua ulivyo unaweza uteseke sana. Potezea jilazimishe ur a normal human being who can not harm another human being
 
[emoji23] scorpion katika ubora wako...
Anyways pole sali sana,watakuja wengine kukushauri zaidi...
Scorpion na wewe(scorpio me) ndugu??majina yenu yanafanana flani hivii[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Scorpion umetoroka luminescent ee sasa Ngoja police wauone huu uzi
 
Una tatizo la kisaikolojia ndugu hukuinyeshwa upendo na walio karibu yako ukiwa mtoto hivyo huoni kutowapenda nakuwajali wengine ni issue
 
UWIIIIIIII
SCORPION wa buguruni mwingine yuko huku jaman...yewomi...pole tatizo umeathiriwa na hizo muvi za wanaopenda kupigana..acha kabisa kuzitazama halafu umrudie muumba wako
 
Mbona we mzuri tu bro,hujakutana na manunda wasiwasi wako tu,dunia isingependeza kuwa na watu wazuri pekee,ndiyo maana kuna Giza,kuna Nuru,kuna Uhai kuna kifo,hivyo ulivyo mungu ameona inafaa
 
You are the psycho!!!!...yes you are coz i know what you are going through!!!...
 
Uongo uliopitliza unakumbuka ulichoandika kua kulala na dadako kuna kutesa.ukasema we we ni mtu wa watu na unamwogopa Mungu



Ukiwa muongo tunza kumbukumbu.
 
Duuh uko wapi tutoe timu amazing maana mm nina 3days sijacheka.Nna visasi adi najiogopa naishi peke yangu napenda ukimya na gizaa tokea mtt sina rafiki wala undugu na mtu.
Mkuu mimi nina undugu na wale watu wanaoeleweka tuu. na marafiki wajanja wale wapuuzi nilisha wafungia mlango siku mingi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…