Msaada: Nina mpango wa kwenda Mombasa kutafuta maisha

ndizi mbaya

Member
Jul 16, 2019
34
95
Habarini wana JF,

Mimi ni ninaepitia changamoto nyingi sana za kimaisha ,ni mwenyeji wa Dar es Salaam nina mpango wa kwenda Mombasa kutafuta maisha. Naombeni mnifahamishe itanigharimu shilingi ngapi kutoka Dar hadi Mombasa. Na je inatanibidi nawe na passport yaku ya kusafiria?

Nawasilisha
 

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,756
2,000
Haifiki elfu 50, gari Tahmeed.
Passport (Temporary/ ya muda mrefu), kadi ya homa ya manjano.

N:B Wakati wa kurudi hakikisha gomba/mirungi unaiacha border pale.

KILA LA HERI.
 

G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,515
2,000
Haifiki elfu 50, gari Tahmeed.
Passport (Temporary/ ya muda mrefu), kadi ya homa ya manjano.

N:B Wakati wa kurudi hakikisha gomba/mirungi unaiacha Namanga pale.

KILA LA HERI.
Kwenda Mombasa unapitia Namanga?
 

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
2,484
2,000
Kuwa makini tu na marinda yako mkuu😂😂😂😂

Huko nasikia hata Pool Table ndefu hawainami kucheza kama za huku kwetu. Ukiangusha kitu hata hela usiiname kuikota . KILA LA KHERI🤣🤣🤣🤣🤣
 

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,506
2,000
Mjukuu wangu hatari sana kwenda mitaa hiyo ni hatari sana sana,wasije kukusomea dua maalum ukalainika na kuachia manake zipo dua maalumu kwa kazi maalum mara watakapo kuona,dua hizo huchukuliwa maji bahari udi mahsusi mchele na kadhalka,wakati haya yakifanyika we unaanza kupiga mapozi ya kila aina na kijipiga selfie.
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
10,438
2,000
Nenda tu, kwani umeuchagua wewe kwa kuona ni rahisi kwa maisha yako uliyoamua kuishi. ILA kumbuka kuna kiyama na peponi kamwe hutoingia!
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,961
2,000
Habarini wana jf.mimi ni ninae pitia changamoto nyingi sana za kimaisha ,ni mwenyeji wa dare Ssalaa nina mpango wa kwenda mombasa kutafuta maisha. Naombeni mnifahamishe itanicost shin.ngapi kutoka daa hadi mombasa. Na je inatanibidi nawe na passport yaku ya kjsafiria nawasili
Tatizo la Mombasa siyo Gharama ya Wewe kuweza Kuishi huko au Nauli yake bali tunahofu sana kwamba usije ukarejea baadae nchini Tanzania bila Urijali wako na ukawa ni Mtumiaji Mafuta Mwandamizi kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom