Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
M bip,Wakuu katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu!
Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi!!
Sasa nimepata namba yake mahali, na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.. Yan kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka!!
Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke!!
Je kama dem hayupo tyr kuolewa?Kama unania ya kuoa na km bado hajaolewa nenda om kwao peleka posa kabisa nenda na baadh ya watu wazma ataona kwel upo serious
Alovera - forever living??Kama yuko Alovera, jifanye unataka na wewe kujiunga huko alafau uwe karibu yake naye awe kama ndio mentor wako vile...
Sifa mojawapo ya mwanaume ni uwezo wa kushawishi kitu au mtu..Wakuu katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu!
Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi!!
Sasa nimepata namba yake mahali, na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.. Yan kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka!!
Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke!!
Sio wote lakini wanaangalia pesa mkuu, usimpotoshe mshikaji maana ndio kwanza ataona km amemchukulia malaya anayeuza mbunye.Hapo kwenye mpesa lazima aingie tu line nguvu ya pesa kubwa sana
ha haha inabidi tuwe wagumu usotee demu mwaka mzima[emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli amekutana na makande. Hizi changamoto ndo tunazitaka ila msiwe wagumu sana teeeh teeeh
Tusote mwaka mzima na hela zetu tuwape acheni hizoha haha inabidi tuwe wagumu usotee demu mwaka mzima
maharage ya mbeya hamtaki .. sotenina pesa mtoeTusote mwaka mzima na hela zetu tuwape acheni hizo
Kama hana hyo laki je?mkuu omba namba yake afu mtumie mpesa laki afu kausha mwezi uone atakavyokuja res
Ngoja nizichange, nitakufata tumaharage ya mbeya hamtaki .. sotenina pesa mtoe
Hata huyo aliyenae naye alimkuta kwenye mahusiano na mwingine. Love is cycle, mambo ya tupo wangapi hayo.Achana nae huyo ana mtu wake mwingine, jiongeze.
Sio kila mwanamke umuonae na kuongea nae hayuko kwenye mahusiano.
jitahidi tuNgoja nizichange, nitakufata tu
For you nitafanya hivyojitahidi tu