Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Kama kweli una lengo la kumuoa, mtafute mama mtu mzima mwenye umri kumzidi yeye, ili aende kumfikishia ujumbe wako wa ndoa "live" bila chenga.
Nakutakia herói.
 
wasio penda kutoa namba wanatoa papuchi kwa uraisi ww nenda kaombe papuchi achana na namba
 
Jitahid utapokutana nae unamfanya japo atabasamu kwa vijimaneno utakavyokuwa unamwambia, namba mbna ishu ndogo sana
 
Mtafute facebook halafu m-like na umfollow Twitter,instagram,badoo,snapchat.

Tumechoka post zenu nyie watoto mnaosubiria kujiunga form five
 
Jitahid utapokutana nae unamfanya japo atabasamu kwa vijimaneno utakavyokuwa unamwambia, namba mbna ishu ndogo sana
Tatizo kazi anayofanya, kuonana naye ni issue aisee!!
 
Kama kweli una lengo la kumuoa, mtafute mama mtu mzima mwenye umri kumzidi yeye, ili aende kumfikishia ujumbe wako wa ndoa "live" bila chenga.
Nakutakia herói.
Shukrani mkuu
 
Hii ndo ule ufala sipendi, yaani kama ndo number yangu, wacha story ikatike.
 
me nina dawa inaitwa tongozamore ni pm, hii dawa ni balaaa ukimeza unakuwa na mzuka zaidi ya mlokole aliyeshukiwa roho mtakatifu ni mwendo wa kuflow mpaka mtoto aingie kwenye kumi na nane
Hahahah,,,,, hiyo itakua kiboko nigawie na mimi maana kuna mtoto humu namzimikia ila domo zege ni shidah!!!🙄😵
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…