Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Ishub
Shida siyo mashairi.. Yapo yamejaa.. Tatizo atanichukulia vipi na namba alishanikatalia
Ishu ya namba achana nayo kwa maana unaweza pewa namba then, ukambwela pia, jarib kumuonesha unamhitaji kweli na sio kwa kutumia namba, kabla ya yote angalia confidence yako iko wapi alafu anza kutatua tatizo.
 
Tafuta shughuli anayofanya.....ukionana nae jifanye una shida ya kikazi tu
so akupe mawasiliano yake kikazi tu
akishakupa mchunie kama wiki mbili hivi
lakini ukionana nae msalimie tu...

halafu anzia hapo kwenye shida ya kikazi taratiibu...teremka...
Ehh kweli ng'ombe hazeeki maini,kwa tekniki hizi nisingechomoa
 
Fanya juu chini uonane nae. Ikiwezekana anzisha mazoea nae,kisha siku moja mtoe out (lunch or dinner) then fungua nae ukurasa.

Inshort ukishajenga nae mazoea ni rahisi kupata namba.
 
usijilige uombe namba kwa mtu mwingine alafu umtafute!!! hata kama unayo, we msumbue akupe yeye mwenyewe otherwise utaishia kuaibika mjini hapa!!
 
usijilige uombe namba kwa mtu mwingine alafu umtafute!!! hata kama unayo, we msumbue akupe yeye mwenyewe otherwise utaishia kuaibika mjini hapa!!
Ni kweli mkuu, hapo naweza kuharibu moja kwa moja!! Ngoja niiandike kwenye notebook kwa matumizi ya baadaye!!
 
me nina dawa inaitwa tongozamore ni pm, hii dawa ni balaaa ukimeza unakuwa na mzuka zaidi ya mlokole aliyeshukiwa roho mtakatifu ni mwendo wa kuflow mpaka mtoto aingie kwenye kumi na nane
 
Ni kweli mkuu, hapo naweza kuharibu moja kwa moja!! Ngoja niiandike kwenye notebook kwa matumizi ya baadaye!!
haya bana....but my point is, fight akupe namba yeye mwenyewe na sio kwamba uachane nae moja kwa moja!!
 
Hyo midem ambayo hata namba inagoma kutoa huwaga na swaggz za kizaman sana...dawa ni kuipotezea tuu...achana she's not lovable
 
If you want something go get it.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…